Download | Rapcha Lissa | mp3 Audio RELATED: Rapcha – Lissa 2 Rapcha Lissa Lyrics: Saa sita ya mchana jua la utosi Chuo bumu limetema nimekaa kibosi hata presha ya msosi sina “Somebody is calling” oh kumbe Lissa Nimem-save, “Love of my life” Nikaweka na loudspeaker nikamsikia anaongea ka’ analia Nikamuuliza, “Are you okay Monalisa” Akaniambia, “Baby siko sawa kabisa, nadaiwa ada Na jumatatu ndio tunaanza paper yanii Na nisipolipa siruhusiwi kufanya mitihani Laki tano nzima ntaitowa wapi honey?” ? More Related Songs From Rapcha: Rapcha Ft Femi One & King Kaka – Unaua Vibe Remix B O B ft Belle 9, Billnass, Rapcha – X Rapcha Ft. Young Lunya x Dwin (Mangi) – Unaua Vibe Rapcha Ft Lady JayDee – Amen Rapcha ft Mapanch BmB – Wanangu