Download | Rapcha Lissa 1 | mp3 Audio

rapcha lissa

Download | Rapcha Lissa | mp3 Audio

RELATED: Rapcha – Lissa 2

Rapcha Lissa Lyrics:

Saa sita ya mchana jua la utosi
Chuo bumu limetema nimekaa kibosi hata presha ya msosi sina
“Somebody is calling” oh kumbe Lissa
Nimem-save, “Love of my life”
Nikaweka na loudspeaker nikamsikia anaongea ka’ analia

Nikamuuliza, “Are you okay Monalisa”
Akaniambia, “Baby siko sawa kabisa, nadaiwa ada
Na jumatatu ndio tunaanza paper yanii
Na nisipolipa siruhusiwi kufanya mitihani
Laki tano nzima ntaitowa wapi honey?”Rapcha Lissa

More Related Songs From Rapcha:



Comments

Popular posts from this blog

Diamond Platnumz allegedly lectures Rayvanny like a small boy

15 Ways how to Be Faithful in a Relationship

Diamond Platnumz na Zuchu Wanavyojiachia Paris Bila Woga