Diamond Platnumz Kuachia Wimbo Mpya HOLIDAY
Diamond Platnumz Holiday
Msanii wa kizazi Kipya Kama Bongoflava , Platnumz anatarajia kuachia wimbo wake mpya uitwao HOLIDAY.
RELATED: Diamond Awalilia Ziiki Media
Diamond Ameachia kionjo cha Wimbo huo kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa pamoja na Mtayarishaji wa musiki S2kizzy.
View this post on Instagram
Comments
Post a Comment