Washindi wa Simu Mpya aina ya Samsung Watangazwa na Mdundo.com
Washindi wa Simu Mpya aina ya Samsung Watangazwa na Mdundo.com
Mdundo.com imetangaza washindi wawili wa simu mpya za Samsung katika kampeni yao ya saba saba iliyowagusa wapenzi wa muziki kutoka sehemu mbalimbali nchini. Katika kampeni hiyo, watumiaji walihimizwa kupakua DJ mixes kutoka mdundo kwa nafasi ya kushinda zawadi hii ya thamani.
Washindi Boniphace kutoka Katoro, Geita na Arnold kutoka Mbeya, walifanikiwa kushiriki na kushinda simu mpya ya Samsung kwa kupakua DJ mix.
Subscribe new DJ mixes on Mdundo: https://mdundo.ws/YingaM
Mdundo.com inaendelea kuwa jukwaa bora kwa wapenzi wa muziki wanaotaka kufurahia mixes kali na pia kushinda zawadi kubwa. Kwa wale ambao hawakushinda, kuna fursa nyingine zinazokuja, hivyo endelea kufuatilia Mdundo.com kwa habari zaidi na nafasi za kushinda zawadi.
Fuatilia mitandao yetu ya kijamii ili usipitwe na mashindano mengine: https://bit.ly/Mdundoinstagram
Comments
Post a Comment