Diamond Platnumz Kwenye Birthday Ya Jokate

Diamond Platnumz Kwenye Birthday Ya Jokate

Diamond Platnumz ameitumia siku hii ya leo kumtakia heri ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa kushare picha yake na kuandika

“Jembe, mbunifu, mchapakazi Mwenyezi Mungu akubariki katika wiki yako hii ya kuzaliwa”



Comments

Popular posts from this blog

Mrs Energy Ft Chino Kidd – Nimtaje