Download Best of Christian Bella Mix Ndani ya Mdundo

Tunamuangazia msanii mkali #ChristianBella kwenye mix ya leo…

Akiwa miongoni mwa waimbaji wakubwa wa Bongo Flava, Bella ameleta ladha ya pekee katika tasnia ya muziki wa Tanzania. Vibao vyake vinavyojumuisha mahadhi tofauti vimekuwa vikiwakosha mashabiki na kumpa umaarufu mkubwa.

Download ‘Best of Christian Bella’ ndani ya Mdundo hapa: https://mdundo.com/song/2058582

Subscribe ili kupata DJ Mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/YMBlog

#ChristianBella #MixMpyaKilaSiku #SambazaShangweGusaMaisha #Vodacom



Comments

Popular posts from this blog

Mrs Energy Ft Chino Kidd – Nimtaje