JITIBU: Hii Hapa Dawa ya UTI Sugu
Dawa ya UTI Sugu
Kulingana na madaktari bingwa wa magonjwa ya uzazi, maambukizi ya njia ya mkojo husababishwa na vimelea au bakteria hatari ambao huzidi uwezo wa kinga ya mwili katika mfumo wa mkojo. Maambukizi haya yanaweza kuathiri figo, kibofu cha mkojo na mirija inayopita katikakati ya viungo hivyo.
Soma hii Pia: Uhakika Njia 6 Jinsi Ya Kupunguza Tumbo au Kitambi
Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa UTI ni mojawapo ya aina za maambikizi yanayowakumba watu wengi zaidi duniani na watu takriban milioni 8.1 hutembelea hospitali au kliniki kila mwaka kuwaona madaktari kutokana na maradhi haya.
Sasa Tuangalie Dawa Mbadala ya kutibu UTI Sugu.
Mahitaji: Aloe Vera na Kitunguu Saumu.
Matayarisho,
(i) Aloe Vera: Chukua Majani Matatu (3) ya Aloe Vera yakatekate vipande Vidogodogo
(ii) Kitunguu Saumu: Chukua Vitunguu Saumu Vitatu (3) Vikubwa , Menya vizuri punje zote na uzikatekate, Au kama unaona uvivu katakata au twanga hivyo vitunguu vyote.
(iii) Changanya Hivyo Vitunguu na Hizo Aloe Vera ulizokatakata kwenye Maji ya kiasi cha lita 1 au lita 1 na nusu.
(iv) Viache Kwa Muda wa Masaa 12, Baada ya Masaa 12 kupita anza kunywa Asubuhi kabla hujala chochote, Mchana na usiku.
Zingatia: Kunywa Kikombe Cha Chai, Fanya Hivyo kwa Muda wa Siku 14.
Ukiachana na kutibu Uti Sugu, Faida Nyingine Ya Juice Hii, itaondoa magonjwa yote yaliyo katika mfumo wa Uzazi, pia hata Amoeba.
#dawa ya uti sugu kwa mwanamke # uti sugu kwa mwanaume
Comments
Post a Comment