Pakua Bongo love Mix ft Kusah Ndani Ya Mdundo
Wiki yako imeanza vipi? Basi sisi tumeanza kwa ukubwa zaidi.
Leo ni siku ya kueneza vaibu ya mapenzi kupitia ‘Bongo Love Mix’ inayoshirikisha mkali wa Bongo Kusah pamoja na Nandy, Dela, Vyper Ranking na Patoranking.
Pakua hapa na ufurahie: https://mdundo.com/song/2717989
Subscribe ili kupata DJ Mixes kila siku hapa: https://mdundo.ws/YMBlog \
#MdundoMixes #PakuaHapaMdundo #Bongo #GetNewDJMixEveryday #MixMpyaKilaSiku #Kusah
Comments
Post a Comment