Pakua Amapiano vibes ft Whozu Ndani Ya Mdundo.com
Leo ni Jumanne ya kipekee ya Amapiano ft. Whozu, Brandy Maina, Billnass, na Kamo Mphela. Hizi ni kazi za wasanii tajika wanaokubalika barani Afrika. Uwezo wao umetupa sisi fursa ya kukupa mixes kali kama hii kwa burudani yako murwa.Usipitwe!
Download ‘Amapiano Vibes Mix’ hapa: https://mdundo.com/song/2722765
Subscribe ili kupata DJ Mixes kila siku hapa: https://mdundo.ws/YMBlog
#DownloadOnMdundo #MdundoTZ #SambazaShangwe #SambazaShangweGusaMaisha
Comments
Post a Comment