Pakua Kali Za Afrika Mashariki Mix ikiwashirikisha Femi One,Azawi na Nadia Mukami Ndani ya Mdundo
Kali sana!
Tuwasherehekee kina dada wote ambao wako kwenye muziki kupitia mix hii .
Tuko na Femi One, Azawi na Nadia Mukami kwenye mix ya ‘Kali Za Mashariki’
Ni msanii gani kati ya hawa ndio unayemkubali zaidi?
Ipakue hapa mix hii: https://mdundo.com/song/2587990
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/YMBlog
#MdundoMixes #PakuaHapaMdundo #GetNewDJMixEveryday
Comments
Post a Comment