Pakua Bongo Fleva Mix Inayowashirkisha Killy, Nandy, Dayoo Na Mabantu Ndani ya Mdundo
Burudani zaidi ya burudani kwa wadau wanaotambua uzuri wa mziki wa bongo.
Furahia na upakue mix yetu ya kuanza wiki ya Bongo kwenye playlist yako.
Mix hii ‘Bongo Fleva Mix’ inawashirikisha Killy, Nandy, Dayoo na Mabantu.
Ipakue sasa: https://mdundo.com/song/2476181
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/YMBlog
Comments
Post a Comment