Furahia DJ Mixes Mpya Kwa Tsh 100 Kila Siku

DJ Mixes Mpya Kwa Tsh 100 Kila Siku

Tunathubutu kusema kwamba ni ngumu kupata huduma kama hii sehemu nyingine yoyote isipokuwa Mdundo. Hapa utapata DJ Mixes mpya kila siku hii ni maana kwamba kila siku utapata ngoma kali katika masikio yako.

Mdundo DJ Mix hazikuletei tu ngoma kali lakini pia zinakuwezesha kugundua muziki mpya na ngoma za kufurahisha ambazo unaweza kusikiliza na kupakua bila data popote pale na muda wowote ule.

Kwa uangalifu mkubwa tumekuchagulia ngoma ambazo zitakidhi hisia na matukio mbalimbali huku tukiwa tumeshirikisha wasanii tofauti tofauti wa Afrika. Kuanzia kwenye Bongo, Afrobeats mpaka Amapiano bila shaka mixes zetu hizi za kila siku zitakutosheleza.

Jiweke tayari, ongeza sauti na ujiachie ukiwa na mixes hizi kali ambazo utazipata kwa Tsh 100 kwa wiki nzima.

Anza kufurahia sasa: Bonyeza *149*01*60# kwa watumiaji wa Vodacom.

Au Tembelea link hii: bit.ly/2Z6nE6d



Comments

Popular posts from this blog

Mrs Energy Ft Chino Kidd – Nimtaje