Wasifu wa DJ YLB, Kazi Yake Kwenye Wasafi Media na Show Zake
DJ YLB ni nani?
Jina la usani: DJ YLB
Jina halisi: Genes Paul Massawe
Mix tapes zake ni za muziki gani: Gospel
DJ YLB alianzaje kazi yake ya kuwa DJ na lini?
DJ YLB alianza rasmi kazi yake ya kuDJ mwaka wa 2014 Dar Es Salaam Tanzania. Hivyo, anajivunia kuwa na tajriba ya zaidi ya miaka saba katika kazi hii. DJ YLB anatambulika kwa kucheza kwenye vilabu tofauti tofauti Tanzania. Kwa sasa, ni mmoja wa maDJ tajika nchini Tanzania na eneo la Afrika Mashariki.
ALSO YOU MAY READ THIS: Wasifu wa DJ Massu, Kazi na Show Zake Kubwa
Kando na kucheza kwenye vilabu, DJ YLB pia amebarikiwa kufanya kazi na stesheni kadhaa za redio na televisheni kama vile; E FM na E TV. Kuna wakati pia alifanya live mix kwenye televisheni ya KTN Kenya. Kwa sasa, DJ YLB anafanya kazi na kampuni ya Wasafi Media.
Show zake kubwa ni kama gani?
- Wasafi Sunday Worship
- The switch
Kando na kuchapa shows, DJ YLB ndiye mkubwa wa idara ya muziki kwenye Wasafi media. Yeye pia ndiye anayepanga playlists zote zinazotumika na Wasafi TV.
Comments
Post a Comment