BETIKA: Shinda 25% zaidi kwenye ubashiri wako
Mabingwa wa kumwaga mkwanja kwa vigezo rahisi Betika ; wamerudi kwako na fursa nyingine ambayo inaweza kukuacha mtamu katika msimu huu wa sikukuu za Krismasi na Mwaka mpya.
Wakati unaendelea kula pesa unavyotaka katika huduma zao mbalimbali kama Kitonga Deile Jackpot,Casino Jackpot, uhuru bet na zingine nyingi! Sasa jamaa wanakuletea Cha juu Boost iliyo na neema ya kibabe.
Kupitia Cha Juu boost, Betika wanakwambia tumia kuanzia sh 100 tu kutengeneza mkeka wako wa kibabe kisha ushinde 25% zaidi kwa ubashiri wako,inakupitaje hii wakati mechi zenyewe ziko wazi kabisa kujua nani anatoboa?
Kushinda ni rahisi sana mtu wangu wa nguvu, unachotakiwa kufanya ni hivi, chagua timu zako kupitia mkeka wako kisha hakikisha timu utakazochagua odds zake zivuke 19.99 ukitulia tu katika ubashiri wako na mkeka ukajibu, tambua utaufunga mwaka kibabe kwa kujishindia mkwanja wa kibabe.
Changamkia fursa hii ya kibabe kwa kuingia katika tovuti yao kupitia www.betika.co.tz ukifika hapo gonga pale kulipoandikwa Cha Juu Boost kisha chagua mechi zako za kibabe kulingana na masharti ya Odds waliyokupa.
Kumbuka mechi zipo kibao kutoka Mataifa mbalimbali ambazo kwa hesabu zako rahisi zitakupa urahisi wa kupiga pesa kibabe ili utambe kitaa unavyotaka katika msimu huu wa sikukuu za kuufunga mwaka 2020.
Hii ni yako wewe na mwenzio kutoka Betika ili ufurahie odds za kibabe zinazoambatana na mkwanja wa kutisha na hauna sababu ya kuikosa hii fursa.
Kwa maelezo zaidi kuhusu Cha juu Boost na huduma zetu zingine kutoka Betika usisite kuwasiliana nao kwa namba 0659 070 700
The post BETIKA: Shinda 25% zaidi kwenye ubashiri wako appeared first on YINGA MEDIA.
Comments
Post a Comment