Dalili 7 za Vidonda Vya Tumbo Pamoja na Tiba
Dalili 7 za Vidonda Vya Tumbo na Tiba Leo Tumekuletea aina ya Dalili zinazosababisha Vidonda hivi Vya Tumbo na Tiba, Kwanza Tuangalie Aina ya Vidonda Vya Tumbo. Aina Za Vidonda Vya Tumbo: Vidonda vya tumbo vimegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni; 1) Vidonda Vya Tumbo Kubwa. Hivi ni vidonda ambavyo tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa (stomach). Vidonda hivi vya tumbo hujulikana kwa kitaalamu kama Gastric ulcers. Peptic ulcers 2) Vidonda Vya Utumbo Mdogo. Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye sehemu ya juu ya utumbo mdogo inayoitwa duodenum. Vidonda hivi vya tumbo hujulikana kwa kitaalamu kama Duodenal ulcers. Duodenal ulcers Sababu Za Vidonda Vya Tumbo: Yafuatayo ni mambo yanayomuweka mtu katika hatari ya kupata vidonda vya tumbo ambayo ni pamoja na; 1) Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori). 2) Matumizi ya mara kwa mara ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine). 3) Msongo wa mawazo. 4) Kula vyakula v...